1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.05.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi.

Sudi Mnette
2 Mei 2024

Takriban watalii 100 ni miongoni mwa idadi kubwa ya waliokwama baada ya mto kufurika katika hifadhi ya wanyamapori maarufu ya Maasai Mara nchini Kenya kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo hayo.

https://p.dw.com/p/4fPVH