1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika katika Magazeti ya Ujerumani

Zainab Aziz
22 Machi 2024

Miongoni mwa maswala na matukio ya barani Afrika yaliyozingatiwa kwenye magazeti ya Ujerumani mnamo wiki hii ni pamoja na msaada wa Euro bilioni 7 uliotolewa kwa Misri na Umoja wa Ulaya. Gazeti la Frankfurter Allgemeine linauzungumzia mpango wa serikali ya Uingereza wa kuwapeleka wahamiaji nchini Rwanda. Mtayarishaji ni Zainab Aziz

https://p.dw.com/p/4e21T