Deutsche Welle:Mkuu wa michezo ya Olympiki wa Uingereza Sebastian Coe anaizuru Tanzania kuangalia maandalizi ya wanariadha wa nchi hiyo kabla ya michezo hiyo 2012.
Yaliyomo katika taarifa ya habari za ulimwengu kwenye matangazo ya Dw Jioni, ni ziara ya rais wa China Xi Jinping barani Ulaya,na Matumaini ya kufikiwa makubaliano kuhusu vita vya Gaza yafifia nchini Misri.Utasikia pia makala ya maoni mbele ya meza ya duara inayojadili athari za mabadiliko ya tabia nchi Afrika Mashariki.
Mazungumzo ya kusaka mkataba wa usitishwaji mapigano Gaza kuendelea mjini Cairo,nchini Misri. Tanzania yasema kuwa Kimbunga Hidaya kimepungua kasi na si tishio tena kwa nchi hiyo. Rais wa China Xi Jinping anatarajiwa hivi leo kuanza ziara yake rasmi na ya nadra barani Ulaya.
Upepo mkali na mvua kubwa yashuhudiwa pwani ya kusini ya Tanzania.I Meli ya kivita ya Iran yavuka Ikweta hadi kizio cha kusini.I Mahakama ya kijeshi yawahukumu kifo askari wanane Kongo.I Rwanda yakanusha shutuma za Marekani kuhusika na shambulizi la Goma.