Katika ligi ya Ujerumani, Bundesliga, Bayer Leverkusen iliilaza jana Mainz 1-0. Mbarazil Renato Augusto alifunga bao hilo dakika ya 82 ya mchezo
Serikali ya Uingereza imethibitisha kuwa inawashikilia wahamiaji kadhaa, wanaotarajiwa kupelekwa Rwanda mwezi Julai, chini ya sheria yake tata ya kuwatuma waomba hifadhi katika taifa hilo dogo la Afrika.
Wafanyakazi wanashusha pumzi baada ya serikali kutangaza nyongeza isiyopungua asilimia sita ya kima cha chini cha mshahara ili kuwapiga jeki.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken ambaye yuko ziarani nchini Israel ametoa wito wa kupelekwa misaada zaidi ya kibinaadamu kwenye ukanda wa Gaza.