DeutscheWelle:timu zote 2 za Manchester zimewika ugenini katika duru za mchujo za ligi ya Ulaya,hali inayowapa moyo baada ya kutolewa katika kombe la vilabu bingwa.
Ikiwa ni miezi minne tu baada ya mwaka kuanza, tayari Ujerumani imeshavuka viwango vyake vya mwaka vya matumizi ya rasilimali za kiikolojia kwa mwaka, kwa mujibu wa shirika la kiraia la Global footprint Network.
Zimbabwe imeanza wiki hii kutumia sarafu yake mpya inayofahamika kama ZiG na kuachana na sarafu ya zamani, katika jaribio lake la hivi punde la kutatua mzozo wa kifedha.
Tume ya amani ya Umoja wa Mataifa MONUSCO imesitisha operesheni zake za kulinda raia katika jimbo la Kivu kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kufuatia ombi la serikali.