Deutsche-Welle:Wachezaji nyota watateremka viwanjani katika kombe la mataifa barani Afrika jumamosi hii licha ya timu mashuhuri kupigwa kumbo .
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: China na Serbia leo zimetia saini makubaliano ya kujenga "mustakabali wa pamoja" wakati wa ziara ya Rais Xi Jinping nchini Serbia/ Israel imeushambulia kwa mabomu mji wa Rafah uliofurika watu katika Ukanda wa Gaza
China na Serbia zimetia saini makubaliano ya kujenga "mustakabali wa pamoja" wakati wa ziara ya Rais Xi Jinping nchini Serbia na kuifanya nchi hiyo kuwa ya kwanza Ulaya kuingia katika makubaliano kama hayo na China
Wapalestina waliojawa na hofu wanaukimbia mji wa Rafah kabla ya majeshi ya Israel kuanza mashambulizi ya ardhini licha ya mazungumzo ya kusitisha vita kurejea tena huko mjini Cairo, Misri.