Deutsche Welle: Newt Gingrich apoteza nafasi ya kuwa mgombea bora zaidi wa kiti cha urais wa Marekani kwa tiketi ya Republican katika uchaguzui utakaofanyika mwakani.
Iran imethibitisha kwamba ilifanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Marekani licha ya mataifa hayo mawili yaliyo mahasimu wakubwa kutokuwa na mahusiano rasmi ya kidiplomasia.
Watu wanne wameripotiwa kufariki kufuatia dhoruba iliyosababisha pia uharibifu mkubwa wa majengo na miundombinu kadhaa huko Houston, Marekani.
Mahakama nchini Marekani imemuhukumu miaka 30 jela mwanaume mmoja aliyemshambulia kwa nyundo mume wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi.