Deutsche Welle: Hali yazidi kuwa ya wasi wasi nchini Senegal kabla ya uchaguzi wa Rais Jumapili ijayo.
Joel Nanauka kutoka Tanzania ni mwandishi wa vitabu na msomi aliyebobea katika masuala ya Diplomasia na uchumi na ni moingoni mwa vijana wenye ushawishi zaidi barani Afrika, kwa kuielimisha jamii hasa vijana kuhusu mambo yasiyofundishwa katika mfumo rasmi wa elimu ya darasani. Veronica Natalis amezungumza ne katika Kinagaubaga.
Mabingwa wa Bundesliga Bayer Leverkusen waendeleza rekodi yao ya kutoshindwa, huku zikiwa zimesalia mechi tatu msimu wa ligi kukamilika // Bayern na Dortmund zajiandaa kwa michuano muhimu ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuwa na msimu usioridhisha katika ligi ya nyumbani //Na utasikia kwa nini ramani iliyochorwa kwenye jezi ilisababisha mechi ya Kombe la SHiriksiho Afrika kufutwa
Mjane wa hayati kiongozi wa upinzani nchini Urusi Alexei Navalny na Wakfu wake wa Kupambana na Ufisadi, ndio washindi wa Tuzo ya 10 ya DW ya Uhuru wa Kujieleza mwaka 2024.