Deutsche Welle: Wagombea 2 wa urais nchini Kenya, William Ruto na Uhuru Kenyatta, ni miongoni mwa watu 4 wenye kesi ya kujibu mbele ya ICC mjini The Hague.
Ripoti ya mashirika ya haki za binadamu imeeleza kuwa jumla ya watu 118 walikuwa wahanga wa mauaji ya kiholela yaliyofanywa na polisi Kenya mwaka uliopita na kulaani hali ya kutowajibishwa kwa maafisa hao nchini humo.
Miili ya watu wasiopungua 13 imeopolewa kutoka maeneo tofauti ya mji mkuu wa Kenya, Nairobi baada mafuriko ya kutisha kulikumba taifa hilo la Afrika Mashariki.
Mkuu wa Majeshi wa Kenya Francis Ogolla ni miongoni mwa watu waliofariki katika ajali ya ndege ya kijeshi iliyoanguka katika mpaka wa Kaben-Cheptule