Bunge la Kenya limeupitisha mswada unaoishauri serikali ijiondoe kwenye mkataba wa Roma ulioiunda mahakama ya uhalifu wa kivita ICC iliyoko The Hague
Mapigano yanaendelea katika mji wa kusini mwa Gaza Rafah. Austria itaanza tena kuchangia katika shirika la UNRWA. Burkina Faso, Mali na Niger zakamilisha mpango wa ushirikiano wao wa kikanda.
Sudan Kusini inakaribia kupata mkopo wa dola bilioni 13 kutoka kwa kampuni moja iliyoko katika Umoja wa Falme za Kiarabu, licha ya nchi hiyo yenye utajiri wa mafuta kushindwa kudhibiti madeni yake.
Makundi 10 ya kutetea haki za binaadamu yamesema katika mkutano wao wa pamoja mjini Tunis kwamba uhuru wa watu wa Tunisia unatishiwa chini ya uongozi wa rais Kais Saied