Deutsche Welle: Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan ameteuliwa kuwa mjumbe maalumu katika mzozo wa Syria.
Ukraine yaishukuru Vatican kwa juhudi za kujaribu kuwarudisha maelfu ya watoto waliopelekwa Urusi, ujumbe wa MONUSCO wasitisha operesheni zake jimboni Kivu Kusini katika jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo na Uingereza yawawekea vikwazo wanasiasa wa Uganda kutokana na madai ya ufisadi
Jumuiya ya kujihami ya NATO yasema wanachama wake hawajatimiza ahadi ya msaada wa silaha kwa Ukraine, mfanyakazi wa zamani wa NSA ahukumiwa kifungo cha zaidi ya miaka 21 kwa kujaribu kuifanyia Urusi upelelezi na Togo yapiga kura kuwachagua wabunge baada ya mageuzi ya kikatiba yaliyosababisha mgawanyiko
Watu kadhaa wamekamatwa nchini Georgia, baada ya polisi katika mji mkuu Tbilis kutumia mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji.