Korea Kaskazini imelikataa pendekezo la kufanya mazungumzo na Korea Kusini ili kutuliza hali ya wasiwasi katika eneo hilo la Korea.
Mazungumzo ya kusaka mkataba wa usitishwaji mapigano Gaza kuendelea mjini Cairo,nchini Misri. Tanzania yasema kuwa Kimbunga Hidaya kimepungua kasi na si tishio tena kwa nchi hiyo. Rais wa China Xi Jinping anatarajiwa hivi leo kuanza ziara yake rasmi na ya nadra barani Ulaya.
Mazungumzo yanayolenga kufikiwa makubaliano ya usitishwaji mapigano huko Gaza yanatarajiwa kuanza tena siku ya Jumapili mjini Cairo nchini Misri.
Kiongozi wa kundi la wanamgambo wa Kipalestina wa Islamic Jihad ameuawa katika shambulizi la anga kusini mwa Gaza.