Schalke 04 ya Ujerumani imefanikiwa kufuzu kwa hatua ya mtoano wa ligi ya mabingwa Ulaya baada ya kuifunga Olympic Lyon mabao 3-0.
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Jioni, 19 Mei 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn.
Helikopta iliyombeba Rais Ebrahim Raisi wa Iran imepata ajali magharibi mwa nchi hiyo leo na vikosi vya uokoaji vimetumwa kuitafuta.
Jeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo limesema hii leo kwamba limezima jaribio la mapinduzi karibu na ikulu ya nchi hiyo mjini Kinshasa yaliyopangwa na "Wakongamani na raia wengine wa kigeni".