Cologne yamtangaza Volker Finke kuwa kocha wake wa muda baada ya Frank Schaefer kujiuzulu, kautoka klabu hiyo ya Bundesliga iliyopata mshtuko.
Ikiwa ni miezi minne tu baada ya mwaka kuanza, tayari Ujerumani imeshavuka viwango vyake vya mwaka vya matumizi ya rasilimali za kiikolojia kwa mwaka, kwa mujibu wa shirika la kiraia la Global footprint Network.
Wanamgambo wa Kihouthi wanaoungwa mkono na Iran wameanza kupanua mamlaka yake ndani ya Yemen na katika kanda nzima Mashariki ya Kati.
Wajerumani wanajivunia miji yao, ambayo aghalabu husifiwa kwa uvumbuzi na kuwa rafiki kwa mazingira. Lakini hilo halijawavimbisha kichwa. Wako Wajerumani wanaovutiwa na kujifunza kuhusu miji mingine duniani inavyotatua changamoto kwa wakaazi wake. Mfano ni mji mkuu wa Rwanda, Kigali. Rachel Nduati alishuhudia hilo hivi karibuni. Tizama video hii.