03.05.2024 Matangazo ya Asubuhi
03.05.2024
Tarehe 3 Mei kila mwaka, Ulimwengu huadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari+++Jumuiya ya Ushirikiano wa Uchumi na Maendeleo barani Ulaya, OECD, imepandisha makisio yake ya ukuwaji wa uchumi kwa mwaka 2024+++Timu ya Bayer Leverkusen imeonesha kuijongelea fainali ya Ligi ya Europa baada ya kushinda 2-0 dhidi ya Roma