"Njia za kijeshi si njia ya kuifumbua hali ya Libya" amesema hayo waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ujerumani Guido Westerwelle akiwa ziarani Beijing.
Umeme wakatika Tanzania wakati Kimbunga Hidaya kikikaribia.I Uingereza kuanza kuwapeleka wahamiaji Rwanda ifikapo Julai Mosi I New Zealand na Ujerumani zasaini mkataba wa kukuza ushirikiano. I Bomu laua watu 12 wakiwemo watoto Kongo.
Sehemu kubwa ya Tanzania ilikosa umeme siku ya Jumamosi wakati mvua kubwa na pepo kali za Kimbunga Hidaya kikikaribia kuipiga nchi hiyo ya Afrika Mashariki kufuatia wiki kadhaa za mafuriko kwenye ukanda huo.
Serikali ya Uingereza imeiambia Mahakama Kuu mjini London kwamba safari za kwanza za ndege za kuwahamishia waomba hifadhi nchini Rwanda zitaanza kati ya Julai Mosi na Julai 15.