Vurugu zimesababisha vifo vya watu kadhaa mkoani Arusha nchini Tanzania kufuatia mvutano wa kisiasa kati ya chama tawala CCM na upinzani Chadema
Mamlaka ya hali ya hewa nchini Kenya imewataka wakaazi wa pwani ya nchi hiyo kuwa katika hali ya tahadhari, wakati eneo hilo likitarajiwa kupigwa na kimbunga Hidaya.
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani,Tedros Adhanom Ghebreyesus ameyataka mataifa kuridhia makubaliano ya kusaidia kupambana na miripuko katika siku za usoni, ikiwa ni baada ya athari kubwa za janga la Covid-19.
Takriban wakimbizi wa Kisudan 1,000 wamekimbia kambi inayoratibiwa na Umoja wa Mataifa kaskazini Ethiopia kufuatia mfululizo wa matukio ya ufyatuaji risasi na uporaji.