DW:Awamu ya 16 ya ligi ya mabingwa inarejea uwanjani leo,Olympique Lyon ikiminyana na Apoel Nicosia na Bayer Leverkusen ikitoana jasho na Barcelona.
Sikiliza matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
Ukraine yaonya kuwa hali katika mstari wa mbele wa vita inazidi kuwa mbaya, Korea Kaskazini yaikosoa Marekani kwa kusambaza makombora ya masafa marefu kwa Ukraine na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron asema silaha za nyuklia za Ufaransa zinapaswa kuwa sehemu ya mjadala wa ulinzi wa Ulaya
Korea Kaskazini imeikosoa Marekani kwa kusambaza makombora ya masafa marefu kwa Ukraine. Haya yameripotiwa leo Jumatatu na shirika la habari la serikali, KCNA lililonukuu taarifa ya wizara ya ulinzi ya nchi hiyo