Deutsche Welle: Vikosi vya usalama vimewashambulia wapinzani waliokuwa wanahudhuria maziko mjini Damascus. Mtu mmoja aliuawa na wengine kadhaa walijeruhiwa.
Takriban watalii 100 ni miongoni mwa idadi kubwa ya waliokwama baada ya mto kufurika katika hifadhi ya wanyamapori maarufu ya Maasai Mara nchini Kenya kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo hayo.
Taarifa ya habari ya asubuhi ya leo inasikika hapa moja kwa moja
Ungana nasi hapa kusikiliza Taarifa yetu ya habari za Ulimwengu asubuhi hii