Deutsche Welle: Katika siku ya pili ya mechi za Kombe la Mataifa ya Afrika, Cote d'Ivoire inaumana na Sudan na Burkina Faso inashuka dimbani kupambana na Angola.
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa hivi leo kwamba jeshi la nchi yake litaanzisha operesheni ya ardhini katika mji wa Rafah+++Wagonjwa mbalimbali katika Kaunti ya Mombasa, Pwani ya Kenya, wanaendelea kuathirika sana kutokana na mgomo wa madaktari unaondelea
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Jeshi la serikali likiongozwa na jenerali AbdulFatah-al Burhani na wanamgambo wa RSF waendelea na vita Sudan/ Mazungumzo ya uchafuzi wa plastiki yapiga hatua karibu kufikia makubaliano ya kwanza.
Marekani imezitaka nchi zote zinazopeleka silaha Sudan kusitisha hatua hiyo ikionya kwamba historia inajirudia katika jimbo la Darfur,Magharibi mwa Sudan ambako yaliwahi kushuhudiwa mauaji ya halaiki miaka 20 iliyopita.