Deuetche Welle: Guinea ya Ikweta inakaribia kuandika historia leo itakapoingia uwanjani kupambana na Zambia.Timu hiyo inahitaji sare tu kuingia duru ya mtoano.
Timu ya jeshi la Rwanda APR FC imetupwa nje baada ya kunyeshewa mvua ya magoli na Club ya Pyramid ya Misri magoli 6-1 jijini Cairo katika kinyang'anyiro cha kusaka tikiti ya kufuza makundi ya ligi ya mabingwa Afrika.
Timu ya mpira wa kikapu Kenya Ports Authority (KPA) wanawake, watawazwa mabingwa wa Ukanda wa V wa Afrika katika shindano la mpira wa kikapu maarufu "FIBA African Women Basketball League,''
Bayern Munich inatajwa kumuuza Pavard kiasi Euro Milioni 30 kwa Inter Milan